Eze. 30:5 SUV

5 Kushi, na Putu, na Ludi, na watu wote waliochanganyika, na Kubu, na wana wa nchi ya agano, wataanguka kwa upanga pamoja nao.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:5 katika mazingira