Eze. 30:9 SUV

9 Katika siku hiyo watatoka wajumbe mbele zangu katika merikebu, ili kuwatia hofu Wakushi, wanaojiona kuwa salama, na dhiki itakuwa juu yao, vile vile kama katika siku ya Misri; kwa maana, tazama, inakuja.

Kusoma sura kamili Eze. 30

Mtazamo Eze. 30:9 katika mazingira