Eze. 31:17 SUV

17 Hao nao walitelemka kuzimuni pamoja naye kwa watu waliouawa kwa upanga; naam, wale waliokuwa mkono wake, waliokaa chini ya uvuli wake kati ya mataifa.

Kusoma sura kamili Eze. 31

Mtazamo Eze. 31:17 katika mazingira