Eze. 31:5 SUV

5 Basi kimo chake kilitukuzwa kuliko miti yote ya kondeni, na vitanzu vyake viliongezeka; matawi yake yakawa marefu, kwa sababu ya maji mengi, alipoyachipuza.

Kusoma sura kamili Eze. 31

Mtazamo Eze. 31:5 katika mazingira