Eze. 32:15 SUV

15 Nitakapoifanya nchi ya Misri kuwa ukiwa na jangwa, nchi iliyopungukiwa na vitu vilivyoijaza, nitakapowapiga watu wote wakaao ndani yake, ndipo watakapojua ya kuwa mimi ndimi BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 32

Mtazamo Eze. 32:15 katika mazingira