18 Mwanadamu, walilie watu wa Misri. Wote jamii ukawabwage, naam, yeye, na binti za mataifa mashuhuri, hata pande za chini za nchi, pamoja na watu washukao shimoni.
Kusoma sura kamili Eze. 32
Mtazamo Eze. 32:18 katika mazingira