21 Walio hodari watasema naye, toka kati ya kuzimu pamoja nao wamsaidiao; wameshuka wamelala kimya, hata wasiotahiriwa, hali wameuawa kwa upanga.
Kusoma sura kamili Eze. 32
Mtazamo Eze. 32:21 katika mazingira