Eze. 32:32 SUV

32 Kwa maana nimeweka utisho wake katika nchi ya walio hai; naye atalazwa kati yao wasiotahiriwa, pamoja na hao waliouawa kwa upanga; yeye Farao na watu wake wote jamii, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 32

Mtazamo Eze. 32:32 katika mazingira