Eze. 33:4 SUV

4 basi mtu awaye yote aisikiaye sauti ya tarumbeta, wala haonywi, upanga ukija na kumwondoa, damu yake itakuwa juu ya kichwa chake mwenyewe.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:4 katika mazingira