Eze. 33:8 SUV

8 Nimwambiapo mtu mbaya, Ewe mtu mbaya, hakika utakufa, nawe husemi neno la kumwonya mtu huyo, aiache njia yake, mtu mbaya huyo atakufa katika uovu wake, lakini damu yake nitaitaka mkononi mwako.

Kusoma sura kamili Eze. 33

Mtazamo Eze. 33:8 katika mazingira