Eze. 34:13 SUV

13 Nami nitawatoa katika watu wa mataifa, na kuwakusanya katika nchi zote, nami nitawarudisha katika nchi yao wenyewe; nami nitawalisha juu ya milima ya Israeli, kando ya mifereji ya maji; na katika mahali pote pa nchi panapokaliwa na watu.

Kusoma sura kamili Eze. 34

Mtazamo Eze. 34:13 katika mazingira