Eze. 34:20 SUV

20 Kwa sababu hiyo, Bwana MUNGU awaambia hivi; Tazama, mimi, naam, mimi, nitahukumu kati ya wanyama walionona na wanyama waliokonda.

Kusoma sura kamili Eze. 34

Mtazamo Eze. 34:20 katika mazingira