Eze. 34:26 SUV

26 Nami nitawafanya wao, na mahali palipo pande zote za mlima wangu, kuwa baraka, nami nitaleta manyunyu kwa wakati wake; yatakuwako manyunyu ya baraka.

Kusoma sura kamili Eze. 34

Mtazamo Eze. 34:26 katika mazingira