Eze. 34:29 SUV

29 Nami nitawainulia miche iwe sifa njema, wala hawataangamizwa kwa njaa katika nchi yao tena, wala hawatachukua tena aibu ya makafiri.

Kusoma sura kamili Eze. 34

Mtazamo Eze. 34:29 katika mazingira