Eze. 35:8 SUV

8 Nami nitaijaza milima yake watu wake waliouawa; katika milima yako, na katika mabonde yako, na katika mifereji yako ya maji yote, wataanguka wao watakaouawa kwa upanga.

Kusoma sura kamili Eze. 35

Mtazamo Eze. 35:8 katika mazingira