12 Naam, nitaleta watu watembee juu yenu, naam, watu wangu Israeli; nao watakumiliki, nawe utakuwa urithi wao, wala hutawafisha watoto wao tena tangu leo.
Kusoma sura kamili Eze. 36
Mtazamo Eze. 36:12 katika mazingira