Eze. 36:22 SUV

22 Kwa hiyo; waambieni nyumba ya Israeli, Bwana MUNGU asema hivi Sitendi hili kwa ajili yenu, Ee nyumba ya Israeli, bali kwa ajili ya jina langu takatifu, mlilolitia unajisi katika mataifa mliyoyaendea.

Kusoma sura kamili Eze. 36

Mtazamo Eze. 36:22 katika mazingira