Eze. 36:31 SUV

31 Ndipo mtazikumbuka njia zenu mbaya, na matendo yenu yasiyokuwa mema, nanyi mtajichukia nafsi zenu kwa macho yenu, kwa sababu ya maovu yenu na machukizo yenu.

Kusoma sura kamili Eze. 36

Mtazamo Eze. 36:31 katika mazingira