33 Bwana MUNGU asema hivi; Siku ile nitakapowatakaseni na maovu yenu yote, nitaifanya miji ikaliwe na watu, na palipobomolewa pajengwe tena.
Kusoma sura kamili Eze. 36
Mtazamo Eze. 36:33 katika mazingira