Eze. 37:22 SUV

22 nami nitawafanya kuwa taifa moja katika nchi hiyo, juu ya milima ya Israeli; na mfalme mmoja atakuwa mfalme wao wote; wala hawatakuwa tena mataifa mawili, wala hawatagawanyikana kuwa falme mbili tena, hata milele.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:22 katika mazingira