Eze. 37:24 SUV

24 Na mtumishi wangu, Daudi, atakuwa mfalme juu yao, nao wote watakuwa na mchungaji mmoja; nao wataenenda katika hukumu zangu, na kuzishika amri zangu, na kuzitenda.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:24 katika mazingira