Eze. 37:26 SUV

26 Tena nitafanya agano la amani pamoja nao; litakuwa agano la milele pamoja nao; nami nitawaweka na kuwazidisha, na patakatifu pangu nitapaweka katikati yao milele.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:26 katika mazingira