Eze. 37:28 SUV

28 Na mataifa watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, mimi niwatakasaye Israeli, patakatifu pangu patakapokuwa katikati yao milele.

Kusoma sura kamili Eze. 37

Mtazamo Eze. 37:28 katika mazingira