19 Kwa maana katika wivu wangu, na katika moto wa ghadhabu yangu, nimenena, Hakika katika siku ile kutakuwako tetemeko kubwa katika nchi ya Israeli;
Kusoma sura kamili Eze. 38
Mtazamo Eze. 38:19 katika mazingira