Eze. 38:4 SUV

4 nami nitakugeuza na kutia kulabu katika mataya yako, nami nitakutoa, pamoja na jeshi lako lote, farasi na hao wapandao farasi, wote wamevaa silaha za namna zote, jeshi kubwa sana, wenye ngao na kigao, wote wakishika upanga;

Kusoma sura kamili Eze. 38

Mtazamo Eze. 38:4 katika mazingira