28 Nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wao, kwa kuwa naliwahamisha, waende utumwani kati ya mataifa, na mimi nikawakusanya, na kuwaingiza katika nchi yao wenyewe; wala sitawaacha tena huko kamwe, hata mmojawapo;
Kusoma sura kamili Eze. 39
Mtazamo Eze. 39:28 katika mazingira