Eze. 39:4 SUV

4 Utaanguka juu ya milima ya Israeli, wewe, na vikosi vyako vyote, na watu wa kabila nyingi walio pamoja nawe; nami nitakutoa na kuwapa ndege wa kila namna walao nyama, na wanyama wa nchi, uliwe na wao.

Kusoma sura kamili Eze. 39

Mtazamo Eze. 39:4 katika mazingira