Eze. 4:3 SUV

3 Kisha ukajipatie bamba la chuma, ukalisimamishe liwe ukuta wa chuma kati ya wewe na mji huo; ukaelekeze uso wako juu yake, nao utahusuriwa, nawe utauhusuru. Hili litakuwa ishara kwa nyumba ya Israeli.

Kusoma sura kamili Eze. 4

Mtazamo Eze. 4:3 katika mazingira