13 Akalipima lango, toka paa la chumba kimoja hata paa la chumba cha pili, upana wa dhiraa ishirini na tano; mlango mmoja ukielekea mlango wa pili.
Kusoma sura kamili Eze. 40
Mtazamo Eze. 40:13 katika mazingira