17 Ndipo akanileta mpaka ua wa nje, na tazama, palikuwa na vyumba, na sakafu iliyofanyizwa kwa ule ua pande zote; vyumba thelathini vilikuwako juu ya sakafu ile.
Kusoma sura kamili Eze. 40
Mtazamo Eze. 40:17 katika mazingira