27 Tena ua wa ndani ulikuwa na lango, lililoelekea kusini; akapima toka lango hata lango, kwa kuelekea upande wa kusini, dhiraa mia.
Kusoma sura kamili Eze. 40
Mtazamo Eze. 40:27 katika mazingira