Eze. 40:29 SUV

29 navyo vyumba vyake vya walinzi, na miimo yake, na matao yake, sawasawa na vipimo hivyo; tena palikuwa na madirisha ndani yake, na katika matao yake pande zote; urefu wake dhiraa hamsini, na upana wake dhiraa ishirini na tano.

Kusoma sura kamili Eze. 40

Mtazamo Eze. 40:29 katika mazingira