31 Na matao yake yaliuelekea ua wa nje, na mitende ilikuwa juu ya miimo yake; palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.
Kusoma sura kamili Eze. 40
Mtazamo Eze. 40:31 katika mazingira