Eze. 40:37 SUV

37 Na miimo yake iliuelekea ua wa nje; na mitende ilikuwa juu ya miimo yake, upande huu na upande huu; tena palikuwa na madaraja manane ya kuupandia.

Kusoma sura kamili Eze. 40

Mtazamo Eze. 40:37 katika mazingira