24 Na milango hiyo, kila mmoja ulikuwa na mbao mbili; mbao mbili zigeukazo; mbao mbili za mlango mmoja, na mbao mbili za mlango wa pili.
Kusoma sura kamili Eze. 41
Mtazamo Eze. 41:24 katika mazingira