Eze. 43:24 SUV

24 Nawe utawaleta karibu mbele za BWANA, na makuhani watamwaga chumvi juu yao, nao watawatoa wawe sadaka za kuteketezwa kwa BWANA.

Kusoma sura kamili Eze. 43

Mtazamo Eze. 43:24 katika mazingira