Eze. 44:22 SUV

22 Wala hawataoa wanawake wajane, wala mwanamke aliyeachwa na mume wake; lakini watatwaa mabikira wa wazao wa nyumba ya Israeli, au mjane aliyefiwa na mumewe kuhani.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:22 katika mazingira