Eze. 44:27 SUV

27 Na katika siku atakayoingia ndani ya patakatifu, katika ua wa ndani, ili kuhudumu ndani ya patakatifu, atatoa sadaka yake ya dhambi, asema Bwana MUNGU.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:27 katika mazingira