Eze. 44:29 SUV

29 Wataila sadaka ya unga, na sadaka ya dhambi, na sadaka ya hatia, na kila kitu katika Israeli kilichowekwa wakfu kitakuwa chao.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:29 katika mazingira