Eze. 44:9 SUV

9 Bwana MUNGU asema hivi; Hapana mgeni, ambaye moyo wake haukutahiriwa, wala mwili wake haukutahiriwa, atakayeingia patakatifu pangu, miongoni mwa wageni walio kati ya wana wa Israeli.

Kusoma sura kamili Eze. 44

Mtazamo Eze. 44:9 katika mazingira