Eze. 45:8 SUV

8 Katika nchi hiyo itakuwa milki kwake katika Israeli; wala wakuu wangu hawatawaonea watu wangu tena kabisa; bali watawapa nyumba ya Israeli nchi hiyo, kwa kadiri ya makabila yao.

Kusoma sura kamili Eze. 45

Mtazamo Eze. 45:8 katika mazingira