Eze. 46:3 SUV

3 Watu wa nchi nao wataabudu mbele ya mlango wa lile lango mbele za BWANA, siku za sabato, na siku za mwezi mpya.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:3 katika mazingira