Eze. 46:7 SUV

7 Naye atatengeneza sadaka ya unga, efa moja kwa ng’ombe mume, na efa moja kwa kondoo mume, na kwa wale wana-kondoo, kwa kiasi awezacho kutoa, na hini moja ya mafuta kwa efa moja.

Kusoma sura kamili Eze. 46

Mtazamo Eze. 46:7 katika mazingira