Eze. 47:10 SUV

10 Tena itakuwa, wavuvi watasimama karibu nao; toka Engedi mpaka En-eglaimu, patakuwa ni mahali pa kutandazia nyavu; samaki wao watakuwa namna zao mbalimbali, kama samaki wa bahari kubwa, wengi sana.

Kusoma sura kamili Eze. 47

Mtazamo Eze. 47:10 katika mazingira