Eze. 47:18 SUV

18 Na upande wa mashariki, kati ya Haurani na Dameski, na Gileadi na nchi ya Israeli, utakuwa mto Yordani; mtapima toka mpaka wa upande wa kaskazini hata bahari ya mashariki. Huu ndio upande wa mashariki.

Kusoma sura kamili Eze. 47

Mtazamo Eze. 47:18 katika mazingira