Eze. 47:20 SUV

20 Na upande wa magharibi, utakuwa ni bahari kubwa, kutoka mpaka wa kusini mpaka mahali penye kuelekea maingilio ya Hamathi. Huu ndio upande wa magharibi.

Kusoma sura kamili Eze. 47

Mtazamo Eze. 47:20 katika mazingira