Eze. 47:4 SUV

4 Kisha akapima dhiraa elfu, akanivusha maji yale, maji yakafika mpaka magoti. Kisha akapima dhiraa elfu, akanivusha, maji yakafika mpaka viuno.

Kusoma sura kamili Eze. 47

Mtazamo Eze. 47:4 katika mazingira