8 Ndipo akaniambia, Maji haya yanatoka kwenda pande za nchi ya mashariki, nayo yanashuka mpaka Araba, na kuingia katika bahari; maji yatokezwayo yataingia baharini, na maji yake yataponyeka.
Kusoma sura kamili Eze. 47
Mtazamo Eze. 47:8 katika mazingira