Eze. 5:10 SUV

10 Kwa sababu hiyo baba za watu watawala wana wao kati yako, nao wana watawala baba zao; nami nitafanya hukumu ndani yako, na hao wote waliosalia kwako nitawatawanya kwa pepo zote.

Kusoma sura kamili Eze. 5

Mtazamo Eze. 5:10 katika mazingira