Eze. 5:12 SUV

12 Theluthi yenu mtakufa kwa tauni, na kwa njaa watakomeshwa ndani yako; na theluthi yenu wataanguka kwa upanga pande zako zote; na theluthi yenu nitawatawanya kwa pepo zote, kisha nitafuta upanga nyuma yao.

Kusoma sura kamili Eze. 5

Mtazamo Eze. 5:12 katika mazingira